May 10, 2018

April 22, 2018

BONTA KAFUNGUKA KUHUSU UJIO WAKE MPYA WWB,WANA WANYWE BIA,NA WEUSI KUJA NA NGOMA MPYA MSIKILIZE APA

0

Rapa mahiri toka kundi la weusi,bonta maarifa au dr hip hop ,ame sema kuwa ngoma yake mpya ambayo amekuwa aki toa vionjo kupitia hash tag ya #wwb kunako mitandao ya kijamii,ipo njiani kutoka mapema wiki hii,ngoma inaitwa wana wanywe bia,ikiwa ni kazi ya q the don kunako beat,na pia  kamshirikisha blad key,msikilize hapa chini
Image result for bonta

April 20, 2018

April 18, 2018